Ulaji wa kula kucha kupita kiasi ni ugonjwa

  • | BBC Swahili
    1,202 views
    Unayo tabia au unamfahamu mtu aliye na tabia ya kula kucha? Wataalamu wa afya wanasema wakati tabia hii inapozidi kupita kiasi, huwa ni tatizo la kiafya. #bbcswahili #afya #bbcmaisha