- 9,320 viewsDuration: 1:34Washukiwa watatu wa wizi wa mifugo wameuawa na wananchi waliokuwa na ghadhabu na miili yao kuteketezwa katika eneo la Malili kaunti ndogo ya Mukaa kaunti ya Makueni baada ya kupatikana wakiwa na ng'ombe wawili waliokuwa wamewaiba