30 Jan 2026 10:13 am | Citizen TV 119 views Duration: 1:09 Maafisa wa usalama kutoka maeneo ya Murang’a Kusini na Kandara wametoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaoendesha biashara haramu zikiwemo uuzaji wa bangi, pombe haramu na biashara za kamari mashinani.