- 317 viewsDuration: 3:34Siku chache baada ya Runinga ya Citizen kuangazia Makala maalum yaliofichuo biashara haramu ya ngozi na nyama ya punda nchini, muungano wa chama cha madaktari wa mifugo bara Afrika sasa wametoa msimamo wao kuhusu uozo huo na kuitaka serikali kuchukulia hatua za kisheria wahusika wote.