Skip to main content
Skip to main content

Katibu wa wizara ya mawasiliano Stephen Isaboke akagua vituo vya dijitali kisii

  • | Citizen TV
    113 views
    Duration: 7:17
    Katibu katika wizara ya Mawasiliano Stephen Isaboke kwa sasa anaendelea kuzuru maeneo mbalimbali mjini Kisii kukagua miradi ya serikali inayolenga maelfu ya vijana eneo zima la Gusii. kwa sasa yuko ndani ya Chuo cha Kitaifa cha mafunzo anuai cha Kisii ambapo anatangamana na wadau mbalimbali.