30 Jan 2026 10:27 am | Citizen TV 79 views Duration: 1:48 Mtambo wa kisasa wa kuzalisha hewa ya oksijeni katika hospitali ya kerugoya umesaidia kupunguza bajeti ya kununua gesi hiyo nje ya kaunti ya Kirinyaga.