Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa aitaka jamii ya Waluhya kuwa na umoja

  • | Citizen TV
    176 views
    Duration: 51s
    Jamii ya Gabra inayopatikana kaskazini mwa nchi katika kaunti ya Marsabit,ina mfumo wa kipekee wa utawala,mfumo unaojumuisha baraza la wazee maarufu "Gadhom" ambao hutumika katika kutatua kesi, mizozo na kufanya maamuzi ya msingi yanayoihusu jamii ya Wagabra. Na baraza hilo linaposhindwa kuafikiana baraza kuu zaidi la "Yaa" hutuikwa jukumu la kutafuta mwafaka. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anatuchorea taswira ya mfumo huo wa kipekee wa utawala wa jamii ya Wagabra.