- 267 viewsDuration: 3:26Jamii ya Gabra inayopatikana kaskazini mwa nchi katika kaunti ya Marsabit,ina mfumo wa kipekee wa utawala,mfumo unaojumuisha baraza la wazee maarufu "Gadhom" ambao hutumika katika kutatua kesi, mizozo na kufanya maamuzi ya msingi yanayoihusu jamii ya Wagabra. Na baraza hilo linaposhindwa kuafikiana baraza kuu zaidi la "Yaa" hutuikwa jukumu la kutafuta mwafaka. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anatuchorea taswira ya mfumo huo wa kipekee wa utawala wa jamii ya Wagabra.