30 Jan 2026 10:35 am | Citizen TV 271 views Duration: 1:48 Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027 nchini, kaunti ya Nakuru imeanza kuweka mikakati ya kuimarisha na kudumisha amani, kabla, wakati na baada ya uchaguzi huo.