Skip to main content
Skip to main content

Serikali yasema itaanza kuuza gesi ya kupikia nje ya nchi

  • | Citizen TV
    4,929 views
    Duration: 1:46
    Waziri wa uwekezaji, biashara na viwanda Lee Kinyanjui amesema Kenya sasa itaanza kuuza gesi ya kupikia katika mataifa ya nje pindi tu ujenzi wa bohari la kuhifadhi gesi la Taifa Gas utakapokalimika katika eneo la Dongu Kundu.