- 97 viewsDuration: 2:22Kile kilichotarajiwa kuwa mradi mkuu wa kilimo wa kubadilisha ukulima wa viazi huko Kuria Magharibi kimekuwa ishara ya maendeleo yaliyositasita, na hivyo kuzua maswali mazito kuhusu mipango, uwajibikaji, na usimamizi wa miradi iliyofadhiliwa na wahisani katika Kaunti ya Migori