Skip to main content
Skip to main content

Marundo ya takataka yatapakaa sokoni Isibania kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    139 views
    Duration: 2:15
    Wakaazi na wafanyibiashara wa Isibania katika soko la Mama Mboga wameelekeza kidole cha lawama kwa Serikali ya Kaunti, wakilalamikia kile wanachokitaja kama uzembe wa viongozi wa kaunti katika kusimamia masuala ya usafi wa mazingira