Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wawili wa ulaghai wa dhababu wakamatwa Nyali kwa sakata ya Sh37 milioni

  • | Citizen TV
    5,941 views
    Duration: 2:09
    Wapelelezi wa makosa ya jinai wanawazuilia washukiwa wawili wa ulaghai wa dhababu katika kituo cha Nyali huko Mombasa. Watu hao wanaodaiwa kumtapeli raia wa marekani shilingi milioni 37 walikamatwa katika chumba cha kukodisha walikokuwa wamejificha.