Skip to main content
Skip to main content

Jaji Koome asema mahakama huenda zikaanza kutoa huduma Jumamosi kupunguza mrundiko wa kesi

  • | Citizen TV
    2,477 views
    Duration: 2:24
    Jaji mkuu Martha Koome ameashiria kuwa mahakama huenda zikaanza kutoa huduma siku ya jumamosi, hatua inayolenga kukomesha tabia ya watu wanaokamatwa kwa makosa madogo ijumaa, kuzuiliwa katika vituo vya polisi hadi jumatatu. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya majadiliano baina ya wakenya na idara ya mahakama, koome amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza manyanyaso na mrundiko wa kesi mahakamani