Skip to main content
Skip to main content

Wagabra wawatenga kina mama waliopata watoto nje ya ndoa, wanaume wakiruhusiwa kuoa tena

  • | Citizen TV
    2,934 views
    Duration: 3:47
    Mila na tamaduni ya jamii ya Wagabra huwatenga kina mama na wasichana waliopata watoto nje ya ndoa.. Kina mama hao pia hawatakiwi kuhudhuria au kushiriki sherehe zozote za kitamaduni ikisemekana kuwa hiyo ni mwiko. Hata hivyo wanaume waliohusika wanaruhusiwa kufanyiwa matambiko na kisha kuruhusiwa kuoa mke mwingine