Skip to main content
Skip to main content

Moto wateketeza maduka tisa Ngumba, Kasarani, wafanyabiashara wakipoteza mali isiyojulikana

  • | Citizen TV
    3,579 views
    Duration: 1:09
    Wafanyibiashara katika mtaa wa ngumba, Kasarani wamepoteza mali ya thamani isiyojulikana kufuatia kuzuka kwa moto mkubwa ulioteketeza maduka tisa mapema leo