Skip to main content
Skip to main content

Mtu afariki, 14 wajeruhiwa baada ya gari la Runka kugongana nje ya City Primary jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    8,701 views
    Duration: 2:02
    Mtu mmoja amefariki na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la usafiri wa umma la kampuni ya Runka iliyotokea nje ya lango la shule ya City Primary hapa jijini Nairobi.