Skip to main content
Skip to main content

Eugene Wamalwa awataka Kenya Kwanza kutekeleza ahadi zao

  • | Citizen TV
    814 views
    Duration: 1:29
    Kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa ametaka serikali ya Kenya Kwanza kutekeleza manifesto yake na ahadi ilizotoa kwa wananchi badala ya kuendesha siasa za kutaka kugawanya upinzani. Akiongea huko Transzoia, Wamalwa amekariri kuwa atakuwa analenga kupeperusha bendera ya upinzani mwaka 2027