- 366 viewsDuration: 3:31Zaidi ya wakenya milioni 2.2 wanakumbwa na baa la njaa kutoka kaunti 23 zilizoathirika nchini. Hali hii pia ikiendelea kuwaathiri watoto haswa katika eneo la Gas kaunti ya Marsabit, ambako utapiamlo umeendelea kuathiri familia kadhaa. Na kama mwanahabari wetu Bonface Barasa anavyoarifu, mifugo pia wameripotiwa kufariki huku shilingi bilioni 2.1 zikihitajika kushughulikia hali ya dharura.