1 Feb 2026 7:34 pm | Citizen TV 1,010 views Duration: 1:27 Watu watatu wamefariki kufuatia ajali ya barabarani kaunti ya Nakuru baada ya dereva wa lori lililokuwa limebeba mbao kupoteza mwelekeo katika daraja la Arimi na kupinduka Jumamosi usiku.