- 10,832 viewsDuration: 2:44Vijana wa mitaani wamekusanyika pamoja hapa Nairobi, baada ya mazishi ya wenzao waliofariki kwa njia tofauti wakiwa mitaani. Vijana saba tayari wamezikwa huku wengine bado wakisubiri kuandaliwa mazishi. Vijana wapatao 15 wameuawa katika hali tofauti katika siku za hivi karibuni, huku wenzao sasa wakitaka serikali kuingilia kati kuwaokoa