Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mtu aliyekufa Urusi yadai msaada wa serikali kupata mwili wake

  • | Citizen TV
    1,634 views
    Duration: 1:42
    Familia moja kutoka kule Bomariba Bonchari kaunti ya Kisii inalilia serikali kuwapa majibu kuhusu kifo cha mpendwa wao Clinton Mogesa, kijana mwenye umri wa miaka 29 aliyepatikana ameaga dunai nchini Urusi baada ya kuhadaiwa kujiunga na jeshi katika mapigano baina ya taifa hilo na Ukraine.