Skip to main content
Skip to main content

Mfugaji akadiria hasara ya mamilioni ya pesa Lamu baada ya ng’ome 53 kufariki

  • | Citizen TV
    12,798 views
    Duration: 2:52
    Mfugaji mmoja kwa jina Burale Korio anakadiria hasara ya zaidi ya shillingi million saba baada ya Ng'ombe wake 53 kufa katika mazingira tatanishi ,tukio hili limetokea katika kijiji cha Maleli Witu kaunti ya Lamu. mifugo hao wanadaiwa kula mimea yenye sumu mashambani.