Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Nzoia waandamana

  • | Citizen TV
    262 views
    Duration: 1:27
    2. Wafanyakazi wa kiwanda cha SUKARI cha Nzoia wanaandamana kushikinikiza kulipwa malimbikizi ya madeni ya zaidi ya shillingi Billion kumi, wanayodai serikali ya kitaifa baada ya viwanda vya miwa eneo la magharibi kubinafsishwa. Wakiongozwa na Griffin Wasike mwenyekiti wa muungano wa wafanyakazi hao wanasema kuwa licha ya kuwasilisha lalama zao wiki jana,serikali imesalia kimya.