Skip to main content
Skip to main content

Nchi gani zina silaha za nyuklia na kwa nini nchi nyingine zinazuiwa kuzimiliki?

  • | BBC Swahili
    7,280 views
    Duration: 16:20
    Ni miaka 80 tangu Marekani iliporusha mabomu ya atomiki nchini Japan. Wakati huo, Marekani ilikuwa nchi pekee duniani iliyokuwa na uwezo wa nyuklia, lakini leo nchi tisa zina silaha za nyuklia. Hapa tunaelezea jinsi nchi hizo zilivyounda hazina zao za silaha za nyuklia na kwa nini nchi nyingine zinazuiwa kuzimiliki. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw