- 13,859 viewsDuration: 1:06Angalia wakati ambapo Bondia Jarrell Miller alishinda pambano New York, lakini gumzo likawa ni nywele zake bandia zilizoanguka ulingoni. Licha ya kuwa lilikuwa ni tukio la kuchekesha na kufedhehesha aliligeuza kuwa tukio la mzaha na kuchukua kiwigi chake na kuwarushia mashabiki kisha akaendelea na pambano. Mwandishi wa BBC @frankmavura na simulizi zaidi. #bbcswahili #Marekani #fyp Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw