- 8,716 viewsDuration: 2:45Shughuli za usafiri jijini Nairobi zilitatizika asubuhi leo baada ya baadhi ya wahudumu wa magari ya umma kugoma. Hali hii ikisababisha kusitishwa kwa huduma za usafiri katika baadhi ya maeneo jijini . Baadaye, mgomo ulisitishwa na hali ya kawaida.kurejea.