- 6,832 viewsDuration: 2:59Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua sasa amewataka wakenya wote katika ngome za upinzani kujiandaa kujiandikisha kama wapiga kura zoezi hilo litakapoanza mwezi ujao. Akizungumza katika kaunti ya Muranga Gachagua amesema upinzani uko tayari kuzoa kura nyingi zaidi katika uchaguzi wa mwaka ujao.