Skip to main content
Skip to main content

Maraga akashifu uvamizi kanisani, atoa wito kwa hatua za kisheria

  • | Citizen TV
    412 views
    Duration: 1:18
    Kinara wa chama cha United Green Movement, David Maraga amekemea shambulizi dhidi ya waumini na wanasiasa, lililotokea wiki iliyopita katika kanisa la ACK Witima huko Othaya kaunti ya Nyeri.