- 6,829 viewsDuration: 53sWezi waliokuwa na nyundo walivunja dirisha la mbele la duka la vito vya thamani magharibi mwa London kabla ya kukimbia na baadhi ya vito, huku wafanyakazi wakijaribu kuwazuia. #bbcswahili #Usalama #wizi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw