Skip to main content
Skip to main content

Zoezi la kutoa vitambulisho mashinani laanza katika kaunti 10

  • | Citizen TV
    622 views
    Duration: 2:55
    Maelfu ya wakazi wa Kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet ambao wamekosa vitambulisho vya kitaifa kwa muda mrefu sasa wanaweza kupata stakabadhi hiyo baada ya Uzinduzi wa zoezi la Usajili mashinani, ambao umeanza rasmi hii leo.