Oburu Odinga athibitisha nafasi ya Naibu Rais Kindiki.
Oburu amesema mazungumzo na serikali ni kwa masuala ya sera pekee.
ODM inataka kutambuliwa na kupata uwakilishi sawa katika serikali.
Kauli za viongozi wengine zilizua mjadala kuhusu nafasi serikalini.
Oburu amesisitiza utulivu na ushirikiano kukiwa na changamoto za uchumi.
Oburu amesema mazungumzo yamelenga maendeleo na si mapambano.
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__