Skip to main content
Skip to main content

Wanaopata mshahara chini ya shilingi elfu 30 kushusha pumzi

  • | Citizen TV
    1,884 views
    Duration: 2:50
    Wakenya wenye mapato ya chini huenda wakapata nafuu hivi karibuni iwapo mpango wa kuwaondolea ushuru wa mishahara utatimia. kwa mujibu wa waziri wa fedha john mbadi, serikali imeafikia kuwaondolea ushuru zaidi ya wakenya milioni 1.5 wenye mapato ya chini ya shilingi elfu thelathini. akizungumza katika kaunti ya meru, mbadi amesema hatua hiyo itawezeshwa kupitia mabadiliko katika sheria ya ushuru. stephen letoo anatukunjulia jamvi la nipashe na taarifa hiyo.