Skip to main content
Skip to main content

Bungoma ilitumia shilingi 3.6m kuwasha taa msimu wa Krismasi

  • | Citizen TV
    444 views
    Duration: 3:02
    Kaunti ya Bungoma ilitumia shilingi milioni 3.6 kuwasha taa ya mti wa krismasi. Haya yalifichuliwa mbele ya maseneta wa kamati ya uhasibu ambao sasa wanataka tume ya kupambana na ufisadi eacc kuwakamata waliohusika na kashfa hiyo. Aidha gavana wa kaunti hiyo Ken Lusaka pia alikabiliwa na maswali kuhusu ujenzi wa uwanja wa Masinde Muliro, ambao umekwama licha ya muda wa kukamilika kupita.