Skip to main content
Skip to main content

Uhaba wa maji unawatatiza wakaazi Marsabit, wafugaji wahama

  • | Citizen TV
    213 views
    Duration: 3:06
    Wakenya milioni 2.2 wanapokumbwa na baa la njaa kufuatia hali ya ukame, huko upande wa kaskazini mwa nchi, Wafugaji wamelazimika kusafiri mwendo mrefu kusaka bidhaa hiyo adimu na kuchimba visima vidogo kando ya kingo za mito iliyokauka ili kutafuta maji.