Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wataka barabara ya Kisumu - Busia kupanulliwa kuzuia ajali nyingi zinazotokea

  • | Citizen TV
    2,046 views
    Duration: 3:46
    Wakazi wa kaunti ya Busia wanaotumia barabara kuu ya kitaifa ya kisumu kwenda Busia wanalalamikia wembamba wa barabara hiyo ambao unachangia ajali za kila mara, waathiriwa wengi wakiwa wahudumu wa bodaboda. Kwa mujibu wa wakazi hao, ajali hizo pakubwa zinahusisha malori ya masafa marefu yanayoelekea mataifa jirani, huku vifo vingi vikiripotiwa.