Skip to main content
Skip to main content

Sera ya E-Mobility

  • | Citizen TV
    212 views
    Duration: 54s
    Serikali imezindua sera ya kuhakikisha magari ya uchukuzi wa umma, pikipiki na mengineyo yanatumia umeme badala ya mafuta ya petroli. Serikali imepanga kupunguza ushuru wa magari yanayotumia umeme na kuongeza vituo vya kutia chaji kote nchini.