Skip to main content
Skip to main content

EACC yatwaa umiliki wa ardhi iliyonyakuliwa Machakos

  • | Citizen TV
    211 views
    Duration: 1:15
    Tume ya kupambana na ufisadi EACC imetwaa kipande cha ardhi chenye thamani ya shilingi milioni 50 ambacho inadai kilikua kimenyakuliwa mjini Machakos  Hii ni baada ya tume hiyo kufika katika  mahakama ya Machakos ambayo iliamuru kuwa ardhi hiyo irejeshwe kwa EACC kipande cha ardhi ambacho kilitengewa mpango wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Mmoja wa wamiliki alirejesha hatimiliki haraka wakati zoezi la uchunguzi kilikua likiendelea..