Skip to main content
Skip to main content

Usamabazaji wa Umeme Tana River

  • | Citizen TV
    77 views
    Duration: 1:34
    Serikali kupitia wizara ya Kawi Sasa imewekeza shilingi nusu bilioni kama juhudi za kusambaza umeme katika maeneo ya mashinani Kaunti ya Tana River. Kaunti hiyo imekua na maeno mengi ambayo yamekua bila umeme na kusalia nyuma kimaendeleo, eneo Bunge la garsen limepokeaa shilingi millioni 215 kwa mpango huo.