Skip to main content
Skip to main content

Gavana Otuoma ahojiwa na EACC kuhusu zabuni tata ya Sh1.4 bilioni Busia

  • | Citizen TV
    241 views
    Duration: 2:54
    Gavana wa Busia Paul Otuoma ameandikisha taarifa na tume ya kupambana ufisadi, kufuatia uchunguzi wa kesi ya utoaji zabuni ya shilingi bilioni 1.4 kinyume cha sheria. Katika uchunguzi huo, jumla ya kampuni ishirini na sita zinazohusihwa na wendani wa karibu wa maafisa wakuu wa serikali ya kaunti ya Busia zinadaiwa kupokea fedha hizo. Gavana Otuoma amesema yuko tayari kushirikiana na EACC ili kubaini mbivu na mbichi kuhusu madai ya ufisadi katika kaunti hiyo