Marubani wasisitiza usimamizi umepuuza matakwa yao

  • | K24 Video
    12 views

    Wanaokusudia kusafiri kesho kwa ndege ya kenya airways huenda wakose huduma endapo mgomo wa marubani utaanza kama ilivyo katika ilani yao. Uwezekano huo unafuatia chama cha marubani nchini, kalpa , kukaa ngumu kuhusiana na matakwa yao na kudai kuwa hakijapokea agizo la kuzuia mgomo. Usimamizi wa Kenya Airways umesema kuwa umejaribu kufanya mazungumzo na kalpa lakini imeshindikana.