Skip to main content
Skip to main content

Mpango wa elimu ya msingi bila malipo wa NG-CDF Taveta

  • | Citizen TV
    122 views
    Duration: 2:01
    Ni afueni kwa wanafunzi elfu nne eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta baada ya hazina ya ustawishaji eneo bunge hilo kuanza kutekeleza mpango wa elimu Bora ambapo wanafunzi wa shule upili za kutwa watasoma bila malipo yoyote.. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo mbunge wa Taveta John Bwire anasema mpango huo pia unalenga wanafunzi wa shule za mabweni ambapo watalipa shilingi elfu tano kwa mwaka huku fedha zilizosalia zikilipwa na hazina ya NG-CDF.