Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi waliofutwa kazi washtaki shirika la Anga la Italia (ASI)

  • | Citizen TV
    140 views
    Duration: 1:41
    Wafanyakazi kumi na wanne wa zamani wa Shirika la Anga la Italia (ASI) waliokuwa wakifanya kazi Kilifi wamewasilisha kesi mahakamani wakilishutumu shirika hilo pamoja na mkandarasi wake wa ajira kwa kuwafuta kazi kinyume cha sheria. Wafanyakazi hao wanadai kuwa kufutwa kwao hakukufuata taratibu na kumewaacha katika hali mbaya ya kifedha, hasa baada ya mwajiri wao kusaini fomu zilizowezesha kupata mikopo ya benki muda mfupi kabla ya kuwatimua kazini.