Skip to main content
Skip to main content

Wizara ya biashara yapokea maoni ya wakazi wa Garissa

  • | Citizen TV
    322 views
    Duration: 2:13
    Wizara ya biashara imeanza kupokea maoni kutoka kwa wafanyabiashara wa Garissa kuhusu mswada wa kitaifa wa maendeleo ya biashara wa mwaka wa 2025 ambao unalenga kuondoa vikwazo vingi kwenye sekta hiyo. Kwenye kikao hicho, wafanyabiashara hao walilalamikia idadi ya vizuizi barabarani vinavyotoza ushuru hatua inayosababisha mazingira ya kufanyia biashara kuwa magumu zaidi.