- 72 viewsDuration: 4:02Serikali kupitia halmashauri ya maendeleo ya bonde la Kerio KVDA, inaendeleza hamasa kati ya jamii ya Pokot na Turkana wanaoishi mpakani mwa kaunti hiyo, kuhusu lengo la serikali kutaka kutwaa ardhi ya ekari elfu moja mpakani ili kufanyia kilimo na kutokomeza wizi wa mifugo. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, maji ya kufanyia Kilimo yatatoka kwenye bwawa la Turkwel.