- 169 viewsDuration: 2:59Kuna haja ya wizara ya elimu kuhakikisha imewaandaa wakufunzi wanaotarajiwa kuliendesha gurudumu la mtaala wa CBE, ikiwa walengwa watapata elimu inayofaa na ya viwango vya juu. Hili ni kwa mujibu wa seneta wa Nyeri Wahome Wamatinga, aliyezungumza kwenye hafla ya kufuzu kwa wakufunzi 150 kutoka sekondari msingi na zile za juu katika kaunti ya Nyeri , na ambao wamekamilisha mafunzo ya siku tano kuhusu kusimba na kusimbua, mojawapo ya somo la CBE.