6 Feb 2026 10:09 am | Citizen TV 118 views Duration: 1:27 Mwanaume mmmoja kutoka kijiji cha Minyali–Nabiswa katika Eneo Bunge la Tongaren kaunti ya Bungoma amefariki baada ya kuangukiwa na mti aliokuwa akiukata pamoja na ndugu yake.