6 Feb 2026 10:11 am | Citizen TV 64 views Duration: 1:25 Wanafunzi wa shule ya msingi ya Hola, kaunti ya Tana River, wameandamana hadi afisi ya Mkurugenzi wa elimu kulalamikia mienendo na tabia ya mmoja wa walimu wa shule hiyo ambaye anasemekana kuzua rabsha shuleni humo.