Skip to main content
Skip to main content

Mama mmoja huko Garissa adai alipokonywa umiliki wa ardhi yake

  • | Citizen TV
    98 views
    Duration: 1:24
    Mama mmoja kutoka kijiji cha Bula viungani mwa mji wa Garissa, analilia haki baada ya kesi yake ya ulaghai wa ardhi kukosa kuwasilishwa mahakamani kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.