6 Feb 2026 10:32 am | Citizen TV 48 views Duration: 1:42 Huku maeneo mengi ya nchi yakiendelea kukumbwa na ukame, serikali imesema kuna mipango inawekwa ya kushirikiana na mashirika ya kibinafsi katika juhudi za kuimarisha utoshelevu wa chakula.